Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Jiji la New York Laamua Kumuenzi DMX Kwa Aina Hii


Jiji la New York limeamua kumuenzi vyema marehemu DMX, jana walitangaza kumpa siku maalum ya kumkumbuka ambapo Disemba 18 sasa itatambulika kama Early 'DMX' Simmons Day.


Disemba 18 ni siku aliyozaliwa marehemu X, ambaye alifariki dunia April 9 mwaka huu akiwa na umri wa miaka 50.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments