Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kindoki: Shabiki wa kweli hawezi kuhamia, hilo tukio wametengeneza na Haji Manara kuichafua brand ya Yanga

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREShabiki kindakindaki wa klabu ya Yanga @jimmykindoki amemjia juu msanii wa Singeli @dullamakabila baada ya kutangaza kuhamia Simba akitokea Yanga.

@jimmykindoki amesema kuwa @dullamakabila tunajua ni shabiki wa Simba wa muda mrefu hapo wametengeneza tukio na @hajismanara ili azungumziwe mitandaoni, tunaomba wasanii wabaki kwenye kazi zao za muziki huku kwenye mpira wauache, mpira hauhitaji kiki kama muziki, hilo tukio @hajismanara amelitengeneza.

Post a Comment

0 Comments