Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Lupita Nyong’o ndani ya hifadhi ya Serengeti Tanzania

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Baada ya hifadhi ya Serengeti kutajwa kuwa ndio hifadhi namba moja duniani katika Hifadhi 25 zilizotajwa na mtandao wa Trip advisor, ingawa pia zilikuwepo Hifadhi zingine kutoka Tanzania kama Hifadhi ya Kilimanjaro na Tarangire. 

Habari nzuri ni kwamba watalii wakubwa wameanza kuja kutalii na hii ni baada ya Muigizaji Maarufu Duniani kutoka Kenya Lupita Nyog’o ambaye maisha yake kwa asilimia kubwa yupo Marekani amefika Tanzania na kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

 

Yote hii inasababishwa na taarifa za kuwa Hifadhi ya taifa ya Serengeti ndio hifadhi namba moja duniani kwahiyo huenda tukaona watalii wengi kuja Tanzania hasa Serengeti na asilimia kubwa ikawa watu waarufu duniani.

Kupitia Instagram yake ameandika kuwa:-

#SerengetiStruttin‘ into the weekend! Happy #FurahiDay y’all!Miongoni mwa Movies ambazo ameigiza ni pamoja na (Queen of Katwe mwaka 2016, Star Wars The Rise of Skywalker mwaka 2019, Little Monster 2019, Black Panther 2018, na US 2019)

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments