Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Majizzo: Mimi sina mpinzani kwenye media bali nina wafuasi, nikianzisha kitu wanaiga

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMkurugenzi wa kituo cha habari cha EFM na TVE Francis Ciza alimaarufu @majizzo amezungumza kupitia kituo hicho ambapo ameongea vitu mbalimbali.

Kuhusu baadhi ya media kuiga vipindi anavyoanzisha amesema kuwa ““Kama mtu anafuata njia zako, anafanya unayoanzisha wewe, sio mshindani ni mfuasi”

Post a Comment

0 Comments