.
TAARIFA ZA KUKAMATWA KWAO ZILIANZA KUSAMBAA MITANDAONI JANA NA LEO MAMBOSASA AMETHIBITISHA NA KUFAFANUA KUWA WALIKAMATWA USIKU WA KUAMKIA JANA NA KUHOJIWA LAKINI WALIACHIWA KWA DHAMANA SIKU HIYO SAA 1 USIKU.
KAMANDA HUYO AMEYATAJA MAKOSA WANAYOTUHUMIWA NAYO NI KUSAMBAZA PICHA ZA UTUPU MITANDAONI ZINAZODAIWA KUWA ZA HARMONIZE NA MSANII HUYO NDIYE MLALAMIKAJI.
“NI KWELI TULIWAKAMATA KAJALA NA PAULA TUKAWAHOJI BAADA YA MLALAMIKAJI HARMONIZE KULETA MALALAMIKO KITUONI LAKINI TAYARI TUMESHAWAACHIA KWA DHAMANA,” AMESEMA KAMANDA MAMBOSASA.