google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mbwa wa Biden amng’ata mtumishi mwingine Ikulu | UDAKU SPECIAL

Mbwa wa Biden amng’ata mtumishi mwingine Ikulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mbwa wa Rais wa Marekani aitwaye Meja amemng’ata mtumishi mwingine wa Ikulu, siku chache tu baada ya kurudi kutoka mafunzoni Delaware ili asirudie kitendo kama hicho alichokifanya mapema mwezi huu.

 

Msemaji wa Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden, amesema kwamba kwa tahadhari kubwa mhusika wa tukio hilo la kung’atwa na mbwa alipatiwa huduma na madaktari na kisha akarudia kazi.


Mbwa Meja ni moja wa mbwa mdogo kati ya mbwa wawili wa rais Biden aina ya German Shepherds na ni mbwa wa kwanza wa Ikulu ya Marekani aliyepatikana kutokana na kuokolewa mitaani.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad