Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Pasua Kichwa
Spika wa Bunge, Job Ndugai  amedai kuna upotoshaji mkubwa kuhusu mradi wa bandari ya Bagamoyo. “Tunaposisitiza utekelezaji wa mradi huu hatuna maana mbaya, hakuna mwenye mpango wa kuuza nchi hapa.”

 

“Meli kubwa za kisasa ni karibu viwanja vitatu vya mpira, ni zaidi ya mita 300. Hakuna meli ya urefu huo inayoweza kuingia Bandari ya Dar es Salaam, kwa kuwa mlango wake ni mwembamba na ni mdogo.”
 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments