Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Msanii Harmonize achora Tattoo ya Hayati Magufuli

 CEO wa lebo ya Konde Music Wordwide na msanii Harmonize amechora 'Tattoo' ya picha ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli.
Tattoo hiyo ameichora kwenye mguu wake wa kulia akiwa Lagos nchini Nigeria, kisha ameandika maneno yafuatayo "Mimi nime-sacrifice maisha yangu kwa ajili ya watanzania maskini".

Picha na video hizo akiwa anachora tattoo hizo amezishea kwenye 'Insta Story' ya ukurasa wake wa Instagram halafu mwisho wa picha hizo akaandika 'RIP Kamanda'.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments