Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Msanii wa Sweden raia wa Nigeria Anthony Sky waingia location na Rosa Ree
Msanii kutoka nchini Sweden raia wa Nigeria @iamanthonysky tayari amesharekodi video ya ngoma yake ya #PASSENGER ambayo amemshirikisha @rosa_ree ikiongozwa na director @travellah

Ngoma hii inapatikana kwenye Album yake ya #Louda na anawaomba sapoti kupitia Youtube yake ya Anthony Sky na video ya ngoma hiyo inatoka Ijumaa hii.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments