Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Msemaji wa Serikali "Samia Suluhu Hassan Ameagiza Kufunguliwa Kwa Online TV Pekee

 


Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu kufunguliwa na sio Vyombo vingine vya Habari ambavyo vimefungiwa kwa mujibu wa Sheria


Ufafanuzi huo umetolewa kufuatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia jana Aprili 07, 2021 Ikulu Dar wakati akiwaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments