Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Naibu Waziri aonya wasanii, 'Mambo binafsi kwenye mitandao, mwanaume unatembea na mama na mtoto!


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul, amekutana na watendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA na kuzungumzia mwenendo wa wasanii wa Tanzania ambao anadai hauridhishi kutokana na kuendekeza kuanika mambo binafsi mtandaoni

VIDEO:
 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments