Ticker

6/recent/ticker-posts
.

NDUGAI: WABUNGE KUWENI MAKINI NA BODABODA MNAOWATUMIA

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURESpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka Wabunge wanaofanya safari za kuja na kuondoka Bungeni kwa kutumia Bodaboda kuwa makini zaidi na usafiri huo pamoja na Madereva wanaowabeba

Ndugai amesema "Sina shida na usafiri huu lakini nawaomba umakini na kuwa na uhakika na huyo Dereva wa Bodaboda kwasababu kupatikana kwenu ni kwa gharama kubwa"

Pia, amesema ni vizuri Mbunge kutafakari Wananchi wake wakimuona kwenye Bodaboda watafikiria vipi.

Post a Comment

0 Comments