Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Prof Assad 'Sinta Piga Kura Tena, Labda Kuwe na Mfumo wa Kidigital'

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad, amesema Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki Uchaguzi kwa maana ya kwamba kura haina maana katika Uchaguzi
-
Aidha, amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali kwasababu ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa katika upigaji kura

#JamiiForums #Democracy #Siasa

Post a Comment

0 Comments