Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Prof. Kitila Mkumbo aanza kazi Wizara ya Viwanda na biashara

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe (kulia) akimkaribisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof, Kitila Mkumbo (kushoto) baada ya kuwasili ofisini muda mchache baada ya kuapiswa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Wizara hiyo katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021. Katikati ni Naibu wa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb)


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe (kuliyesimama) akiwatambulisha wakurugenzi wa Wizara hiyo (waliokaa kulia) kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof, Kitila Mkumbo (kushoto) baada ya kuwasili ofisini muda mchache baada ya kuapiswa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Wizara hiyo katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021. aliyekaa wa pili kushoto ni Naibu wa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments