Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Putin Asaini Sheria Inayomwezesha Kubaki Madarakani Hadi 2036

 


Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amesaini #Sheria inayomruhusu kugombea kwa mihula mingine miwili baada ya muhula wake unaomalizika mwaka 2024


Sheria hiyo ambayo inamuwezesha Putin kusalia Madarakani hadi mwaka 2036 ikiwa ataamua kugombea na kushinda Uchaguzi ni matokeo ya mabadiliko ya #Katiba ambayo yalifanywa mwaka jana

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments