Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rais Buhari ataka jeshi la Afrika lihamishiwe Afrika


Rais wa Nigeria Mohammed Buhari amefanya mkutano mtandaoni na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani  Antony Blinken.
Akizungumzia kuongezeka kwa visa vya usalama barani Afrika wakati wa mkutano, Buhari aliitaka Marekani kuhamisha makao makuu ya Jeshi la Afrika l (AFRICOM) kutoka Stuttgart, Ujerumani kwenda Afrika.

Buhari, akitafuta msaada kutoka kwa jamii za kimataifa kwa Nigeria na nchi za Afrika Magharibi kupambana na shida za usalama, Buhari aliendelea kwa kusema kuwa,

"Maswala ya usalama nchini Nigeria yanaendelea kuwa wasiwasi mkubwa kwetu. Utata uliopo katika Sahel, Afrika ya Kati na Magharibi na vile vile Bonde la Ziwa Chad unatuathiri vibaya."


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments