Rais Samia Akaribishwa Na Rais Museveni Wa Uganda Ikulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekaribishwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Ikulu Entebbe Uganda leo tarehe 11 Aprili, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akikaribishwa na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulishwa kwa viongozi mbalimbali na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula kwa mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulisha ujumbe wa Tanzania alioongozana nao kwa mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulisha Mkurugenzi Mkuu wa TPDC Dkt Mataragio kwa mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad