Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rais Samia Awatakia Pasaka Njema Watanzania Wote

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaakiwa pasaka njema watanzania wote.

“Nawatakia watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa. Yesu amefufuka, Haleluya Haleluya.”  – Rais Samia Suluhu 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments