Rais wa Chad Azikwa Leo

ALIYEKUWA Rais wa Chad Idris Deby   amezikwa leo Aprili 23 katika mazishi ya kitaifa yaliofanyika  katika mji mkuu wa N’Djamena.

 

Hayati Derby ambaye alifariki Aprili 19, 2021 kutokanana majeraha aliyoyapata wakati wa mapigano ya waasi Ijumaa ya wiki iliyopita.

 

Rais Deby, ambaye aliiongoza nchi hiyo kwa miaka 30, alifariki siku moja baada ya matokeo ya uchaguzi kuonesha kuwa ndiye mshindi ambapo alikuwa anapanga kurejea tena madarakani kwa muhula wa sita.


               Mahamat Idriss Déby Itno, al maarufu Jeneral Kaka, ambaye atachukua madaraka kwa miezi 18.

Mwanae wa kiume Mahamat Idriss Déby Itno, al maarufu Jeneral Kaka, ataongoza nchi kwa miezi 18 hadi uchaguzi utakapofanyika.

Mazishi hayo yamehudhuriwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron

 


💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad