Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Aagiza Pesa za Muungano Zigawiwe Bara na Zanzibar

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za Maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano zigawanywe pande hizo mbili


Hayo yameelezwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo Jijini Dodoma katika Kongamano la Miaka 57 ya Muungano. Ameongeza, kila upande utaamua namna ya kutumia fedha hizo kwa shughuli za maendeleo


Ameeleza, "Mwaka huu kutokana na tukio la hivi karibuni ambapo Nchi yetu iliondokewa na mmoja wa Mashujaa wake, Hayati Dkt. Magufuli, tuliamua badala ya Sherehe tuadhimishe Muungano kwa kuwa na Kongamano"

Post a Comment

0 Comments