Rapa Drake ameongoza kwa jumla ya streams (idadi ya wasikilizaji katika nyimbo) kwa upande wa wasanii wa Hip Hop hadi sasa tangu kuanza kwa mwaka 2021 kwenye mitandao yote ya muziki duniani.
Drizzy ambaye hivi karibuni aliachia EP yake "Scary Hours" yenye jumla ya nyimbo 3, amefikisha Streams 1.98 BILLION ndani ya takribani siku 90 za mwaka huu.
1. Drake - 1.98 Billion
2. Juice WRLD - 1.52 Billion
3. Lil Baby - 1.50 Billion
4. Pop Smoke - 1.25 Billion
5. Lil Durk - 1.06 Billion
6. DaBaby - 816 Million
7. Kanye West - 748 Million
8. MoneyBagg Yo - 644 Million
9. MGK - 608 Million
10. NF - 586 Million
1d
Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
0 Comments