Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rapa Lil Wayne aripotiwa kufunga ndoa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Rapa Lil Wayne aripotiwa kufunga ndoa, hii ni baada ya tweet yake ya jana Jumanne yenye maneno ya kuweka nadhiri kwa mpenzi wake kwamba huu ndio mwanzo wa maisha yao milele. Akijitaja kama Mwanaume mwenye furaha zaidi, Wizzy hakutaja ni nani aliyekubali kufunga naye pingu za maisha.


Wengi wanahisi huwenda Lil Wayne amemuoa Denise Bidot ambaye wiki iliyopita walionekana kukolea penzini pale ambapo aliweka video kwenye insta stories, ikimuonesha Bidot akiwa ufukweni akiandika kwenye mchanga: Denise & Dwayne.

Post a Comment

0 Comments