Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom leo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Leo Aprili 27 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kuna mechi mbili ambazo zitachezwa kwa timu kusaka point tatu muhimu.

Uwanja wa Gwambina Complex itakuwa ni Gwambina FC v Mwadui FC, saa 10:00 jioni.

Uwanja wa Mkapa ni Simba v Dodoma Jiji, saa 1:00 usiku. 

Post a Comment

0 Comments