Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Ray C afunguka mazito baada ya kifo cha DMX "Sijui nilimfanyia nini Mungu kuniweka hai hadi leo"


Baada ya kifo cha Rapa wa Marekani, Earl Simmons maarufu kama DMX kilichotokea jana April 9 msanii wa Bongo Fleva Rehema Chalamira maarufu kama Ray C amesikitika kutokea kwa msiba huo.
Rapa DMX amefariki  jijini NewpaYork akiwa na umri wa miaka 50 Chanzo cha kifo chake inasemekana kuwa ni kuzidisha matumizi ya madawa za kulevya na kupata mshtuko wa moyo.

Ray C naye ni miongoni mwa waanga wa matumizi wa dawa za kulevya ameguswa na kuandika ujumbe huu kupitia akaunti yake ya instgram:

 Sijui nilimfanyia nini Mungu mimi kuniweka hai hadi leo nikiwa mzima wa afya.πŸ™πŸ€¦♀️πŸ˜ͺMungu wewe ni wa ajabu......Utakaponihitaji wewe tu ndio nitaondoka kwenye hii dunia na si binadamu...Kejeli nazo zingeweza kunivuruga kichwa nikajimaliza mwenyewe lakini wapi.Nilijaribu ukasema Noooo. wa h...na mipango mikubwa na wewe hatujamalizana bado.....Nikiamua mimi uje utakuja...FOCUS LADY!FOCUS! ❤and I did! .I DID GOD.I DID.πŸ™πŸ™πŸ™AM STILL HERE!!!AND AM SOOOO STRONG AND HAPPY AGAIN GODπŸ™..THANK YOU GOD.πŸ™THANK YOU...Na Mungu ndani yangu.Yupo nami kila sehemu...kwenye shida na raha yupo..Yupo ndani yangu.Hajawahi kuniacha na hawezi kuniacha kamwe.πŸ™❤Namtegemea yeye tu..Am God's child.

Rest in Peace LEGEND....@dmx πŸ˜ͺπŸ™πŸ’”#DMX


Usije ogopa kamwe ukipata mitihani maishani...Muite Mungu kila siku!Atakuitikia maana yupo ndani yetu sote...πŸ™❤


Naitwa REHEMA....NA NIMEJAA REHEMA ZA MWENYEZI MUNGU NDANI YA MOYO WANGU..Usinijaribu tena πŸ‘Ώ maana UTAUMIA WEWE.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments