Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rayvanny '"Mimi sishindani na mtu . Huyo mtu wanaesema nashindana nae angalia Subscribers wake na wangu'

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


"Mimi sishindani na mtu . Huyo mtu wanaesema nashindana nae angalia Subscribers wake na wangu, angalia Views zangu na Zake, angalia mauzo yangu na yake

Mimi ndio msanii ninaengoza kwa Kusikilizwa Boomplay na Kutazwamwa YouTube kwa Mwaka huu " - @rayvanny

Endelea Kumsikiliza NOW kupitia #TheSwitch with @lilommy x @raymshana na @ammygal_tz .

Post a Comment

0 Comments