Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rayvany "Harmonize Alikuwa Ananirekodi Tukiwa Tunawasema Viongozi Alafu Anawatumia"


 “Kipindi anamatatizo na Uongozi mara nyingi alikua ananipigia kulalamika . Na mara nyingi nilikua nakaa upande wake, ila tukizungumza kwenye simu na kuwasema Viongozi wanapokosea mwenzangu akawa ananirekodi kwenye Simu” - @rayvanny

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments