Ticker

6/recent/ticker-posts
.

RC Chalamila Ajihami 'Sipo tayari kufukuzwa kazi na Rais kisa mabango ya wananchi'

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMkuu wa mko wa Mbeya Albert Chalamila amesema hayuko tayali kuona anafukuzwa kazi eti kwa sababu ya mabango yanayo onyesha kero za wananchi na badala yake amewataka watumishi wote waliochini yake katika Mkoa wake kwenda kuwasikiliza na kuwatatulia mahitaji yao na Wala wasisubiri viongozi wa juu kutatua changamoto hizo.Mkuu huyo wa mkoa amesema hayo akiwa katika Wilayani Rungwe Halmashauri ya Busokelo, Kijiji cha Matamba Mkoani humo wakati akizungumza na wananchi pamoja na watumishi mbalimbali wa Serikali baada ya kufanya ziara ya kikazi ya kukagua Miradi ya Maendeleo wilayani humo.


Post a Comment

0 Comments