Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Roma Mkatoliki Akumbuka Mateso Aliyopata Baada ya Kutekwa "Kwa Mapenzi ya Mungu Tuko Hai Wengi Wametangulia"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Roma Ameandika Haya:


SIKU KAMA YA LEO #APRIL_7

NI MIAKA MINNE SASA IMEPITA.

#SITAISAHAU SIKU HII!!

WENGI WAMESHATANGULIA MBELE YA HAKI NA TUMEWAZIKA, KWA MAPENZI YAKE MUNGU TUKO HAI MPAKA WAKATI HUU!!

#ZABURI_73:14......

Maana mchana kutwa nimepigwa, Na kuadhibiwa kila asubuhi.

Kama ningalisema, Nitasimulia kama hayo, Kumbe! Ningaliwadanganya kizazi cha wana wako.

-Nami nalifikiri jinsi ya kufahamu hayo, Ikawa taabu machoni pangu!

-Hata nilipoingia katika patakatifu pa Mungu, Nikautafakari mwisho Wao!

-Hakika Wewe huwaweka penye utelezi, Huwaangusha mpaka palipoharibika.

-Namna gani wamekuwa ukiwa mara! Wametokomea na kutoweshwa kwa utisho.

-Eee Bwana, kama ndoto wakati wa kuamka, Uondokapo utaidharau sanamu yao.

MUNGU ANAZO SABABU ZAKE ZA KUTUWEKA HAI MPAKA SASA

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments