Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rosa Ree Akiri Kulizwa na Mapenzi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


RAPA mkali wa kike Bongo, Rosary Robert ‘Rosa Ree’ amekiri kulia kwa ajili ya mapenzi.

 

Akistorisha na IJUMAA SHOWBIZ, Ree anasema kuwa, sababu ya yeye kulia ni kitendo cha kuwa na mpenzi aliyekuwa akimsaliti wakati yeye alikuwa akimuamini kinoma hivyo hakuweza kuamini alichofanyiwa.

 

“Mapenzi yanauma asikwambie mtu, mimi nilishawahi kulia kwa ajili ya mpenzi wangu ambaye alini-chit (kusaliti). Nilikuwa nikimuamini sana,” anasema Ree.Post a Comment

0 Comments