Shamsa Ford Amchana Tena Rose Ndauka ‘Kuimba Hujui Dada, Sauti Kama Umemeza Jiwe la Moto’ Kurap Muachie Rosa Ree

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ameandika Haya Shamsa ford Kumponda Rose Ndauka:

Bora ukweli unaouma kuliko uongo unaokufurahisha. Nipige vijembe,kasirika lakini kuimba hujui dada .Yaani sauti kama umemeza jiwe la moto jamani .Ww baki kwenye bongo movie tu huko kwenye kuimba waachie kina Nandy,maua ,zuchu.Na hipop muachie Rosa Ree.Maana nyimbo yako hata hipop yenyewe imeshangaa🤣🤣Nasikia umetoa nyimbo nyingine inaitwa SNITCH🤣🤣 .Dada mkavu ww na press ukaita kuzindua nyimbo hata uoga 🤣🤣.Poleni waandishi wa habari mnatubeba sana maana kuvumilia ile nyimbo inahitaji HEKIMA .Kwenye kikoba pia kumbuka mdogo wako anadaiwa si umlipie. mm na ww wote tuna njaa

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad