Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Shilole athibitisha kufunga ndoa na mpenzi wake Rommy 3D

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Shilole ameandika ujumbe huu huku akiambatanisha na picha ikimuonyesha akishikwa kichwa na mume wake huyo Rommy 3D:-“Alhamdulillah tumemaliza salama

Officially Husband and Wife

Happily Taken and very much in Love

Kwasasa unaweza kuniita Mrs Rajab Issa (Rommy)

Yarabbi Iwe Salama”

Post a Comment

0 Comments