Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

SHINYANGA: BABU ATUHUMIWA KUBAKA MJUKUU WAKE WA MIAKA 7



Jeshi la Polisi linamshikilia Juma Emmanuel (53) Mkazi wa Nhelegani kwa tuhuma za kumbaka Mjukuu wake wakati Bibi wa Mtoto huyo akiwa amelazwa Hospitalini
-
Kamanda wa Polisi, ACP Debora Magiligimba amesema Mtuhumiwa alimchukua Mtoto usiku kutoka chumba cha Watoto na kumpeleka chumbani kwake kisha kumwingilia kimwili
-
Mtuhumiwa huyo atafikishwa Mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika, huku Jeshi likiwataka Wananchi kuendelea kutoa taarifa ili Ukatili dhidi ya Watoto ukomeshwe.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments