Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Taharuki imeibuka baada ya Rap Goddess Rosa Ree Kupost Picha Akiwa na Majeraha na Damu Mwili Mwake


Taharuki imeibuka baada ya Rap Goddess @Rosa_Ree kutumia ukurasa wake wa Instagram kupost picha hiyo inayomuonyesha mwenye majeraha mwilini na kuambatanisha caption "Haikutakiwa kua hivi... huu ni ushetani" •


Bado haijafahamika fika ni kipi kimemkuta Rosa Ree au ni kazi yake ya sanaa 🤔

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments