AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mkurugenzi wa Takukuru, Brigedia Jenerali, John Mbungo amesema, imemwachia kwa dhamana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Bandari, Deusdedit Kakoko, baada ya kumaliza uchunguzi wa tuhuma dhidi yake kwa asilimia 98 na asilimia mbili zimebaki kufanywa na CAG kisha jalada kupelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP) kwa hatua zaidi.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK