Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Tanzia: Kifo cha mchezaji wa zamani wa Biashara United

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Kupitia ukurasa wa Instagram wa klabu ya Biashara United wameandika kwamba: Klabu ya BIASHARA UNITED MARA imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mchezaji wetu wa zamani BW. Sospeter Maiga Mandala

Hili ni pigo kwa familia ya mpira wa miguu, tunaungana na mashabiki wa Biashara United Mara familia ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu.

Tunaomba Mwenyezi Mungu awape subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu na ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Ameen

Post a Comment

0 Comments