Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Tarime: Watu watatu wafariki kufuatia kubomoka kwa daraja

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhandisi Mtemi Msafiri  amethibitisha kutokea kwa vifo vya Watu watatu kufuatia kubomoka kwa Daraja linalounganisha Barabara Kuu ya Mwanza – Sirari, kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mara—“wamekutwa wakiwa wamefariki baada ya Daraja kubomoka, uchunguzi unaendelea”alisema.

Barabara hii kuu Mwanza-Sirari kwa sasa hakuna mawasiliano baada ya daraja kukatika kutokana na mvua zinazonyesha sasa, magari makubwa yanalazimika kupitia mjini tani zake ni kubwa sana hivyo kuna ulazima mkubwa daraja hili kufanyiwa ukarabati mapema.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments