Harmonize Arusha 'Dongo' Kwa Janjaro ‘Ukifika Lazima Upimwe’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


 
‘Ukifika lazima upimwe’ hii ni kauli aliyoitoa Harmonize akiwa uwanja wa ndege wa Mwl. Julius Nyerere leo akitokea Nigeria na wasanii wenzake wa Konde Gang.


Pichani wasanii Harmonize kushoto na Janjaro kulia

Kauli hiyo inatafsiriwa kama dongo kwa Rapper Dogo Janja baada ya wiki iliyopita kugoma kufanyiwa vipimo vya COVID-19 akiwa uwanja wa ndege Dar es Salaam alipowasili toka Afrika Kusini.

 
Kupitia vipande vya video ambavyo ameviweka kwenye insta story yake, Harmonize pamoja na wenzie wamesikika wakisema kwamba majibu yao yapo negative wakiwa na maana kuwa hawana Corona.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. PESA ZA MAJINI,DAWA YA MAPENZI, NDOA, KUMVUTA UMPENDAE, MIGUU KUWAKA MOTO, KULINDA BIASHARA NA DAWA YA MAPENZI, JE UNAMATATIZO, KARIBU KWA KUFATA MASHARTI NA KUTIMIZA UTAFANIKIWA
    (MALIPO YA NDAGU ZA MALI AU MAJINI NI BAADA YA MAFANIKIO)
    (KWANINI USUMBUKE)
    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU), NDOA, MIKOSI, MABALAA, JINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI. NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote 
    PIGA SIMU KWANZA HUSITUME SMS

    ReplyDelete

Top Post Ad