Ticker

6/recent/ticker-posts
.

TUNISIA: WATU 41 WAPOTEZA MAISHA BAADA YA BOTI KUZAMA

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Takriban watu 41 wamefariki dunia Nchini Tunisia baada ya boti kuzama wakati wakijaribu kuvuka bahari ili kufika Kisiwa cha Italia cha Lampedusa

Kwa mujibu wa Mamlaka, miili ya watu 41 akiwemo mtoto imepataikana na watu wengine watatu wameokolewa na Walinzi wa Pwani wa Tunisia

Mji wa Sfax umetajwa kuwa kituo kikubwa cha watu wanaokimbia changamoto mbalimbali ikiwemo umasikini wakilenga kupata maisha mazuri Ulaya

Mwezi uliopita wahamiaji na wakimbizi 39 walipoteza maisha baharini na Juni mwaka jana takriban watu 60 walifariki dunia baada ya boti kuzama

Post a Comment

0 Comments