Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Uingereza... Hakuna Lockdown, Tuishi na Corona Kama Mafua tu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMganga Mkuu na Mshauri Mkuu wa Afya wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua

Amesema watajifunza kuishi na #CoronaVirus pia vinavyotajwa kuwa Virusi vipya vya Corona haviwezi kuzuiwa kwa kuzuia watu kuingia katika nchi

Post a Comment

0 Comments