Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Unaambiwa Penzi la Jennifer Lopez na Bilionea Alex Rodriguez limekwisha

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 

Jennifer

Penzi la Jennifer Lopez na Alex Rodriguez limekwisha, wawili hao wameripotiwa kuachana na kuvunja uchumba wao rasmi baada ya miaka 4 ya kuwa pamoja. Umeripoti mtandao wa TMZ.


Wawili hao wameueleza mtandao wa TODAY kwenye taarifa ya pamoja kwamba, wametambua ni vyema zaidi kwao kama watabaki kuwa marafiki huku wakiweka ahadi kwamba wataendelea kusaidiana na kupeana nguvu hasa kwenye biashara ambazo walizianzisha pamoja.


Penzi lao lilianza mwaka 2017 na 2019 Rodriguez alimvisha J-LO pete ya uchumba yenye thamani ya TSh. bilioni 4. Mwaka 2020 walianza kutudokeza kuhusu mipango ya ndoa na wengi tukaamini hii inaenda kuwa ndoa ya 4 kwa Mwanamama huyo mwenye umri wa miaka 51.

Post a Comment

0 Comments