Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Unaambiwa.. Mnada wa korosho, ufuta kufanyika kwa njia ya Kieletroniki

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKatika kuongeza thamani ya zao la Korosho na ufuta hapa nchini serikali imesema katika msimu ujao wa uuzaji wa mazao hayo minada yake itafanyika kwa njia ya kieletroniki ambayo itaaanza mapema kabla ya minada kuanza.

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Kibiti Mhe.Twaha Mpembenwe aliyetaka kujua ni njia zipi zinatumiwa ma serikali katika kudhibiti mporomoko wa bei ya korosho na ufuta katika soko la dunia na kusababisha wakulima kupata hasara kwa kupata bei ndogo wanapouza korosho zao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vigezo vya ubora wa korosho hizo.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments