Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wafungwa waliotoroka wajisalimisha Nigeria
Wafungwa 36 kati ya wafungwa 1,844 waliotoroka katika shambulizi kwenye gereza mnamo Aprili 5 wamejisalimisha katika jimbo la Imo la Nigeria.

Msemaji wa Gereza la Oweri James Maduba amesema katika taarifa kwamba juhudi zinaendelea kuwakamata wafungwa wengine waliotoroka katika shambulizi la gereza huko Owerri.

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nigeria Rauf Aregbesola alisema wafungwa hawataadhibiwa kwa kutoroka ikiwa watajisalimisha.

Katika shambulizi hilo, wafungwa 1,844 walitoroka, wafungwa 35 walikataa kutoroka, magari 50 yalichomwa moto, na wakimbizi 6 walirudi kwa hiari yao.

 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments