Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Wasichokijua WCB fanbase yao ni kuwa kwa Sasa Harmonize ndo star wa movie na wao wapo upande wa adui. Diamond kaamua kutumia silaha ake kabla ya muda

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREAisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle of the movie. Harmonize is going to win this battle . Just soon ...very soon. Diamond silaha yake kubwa ILIYOBAKI ni ALBUM . Humo kaweka Wizkid... Davido... Rema... Alicia keys.... . Hiyo silaha hakutarajia na Wala hakupanga kuitumia mapema hivi. Ilibidi zuchu, na lavalava watoe album ndo atoe hiyo album. Imebidi avunje ghala la silaha. Asichokijua ni kuwa kwa Sasa he is not playing the hero part, kwa Sasa the hero part is Harmonize. Watu hawaamini kuwa Harmonize ataweza kupokea kijiti na hicho ndo kinachmpa nguvu zaidi. He is more than ready ....na hapo bado official chid na kill hawajatoa album. Time will tell. Mnaodhani Harmonize anamcopy diamond mmefeli. He is modifying all the strategies that made diamond who he is today. Kuna wimbo kwenye highschool album inaenda kuushangaza ulimwengu. Isipotrend dunia basi ni Africa. Ni zaidi ya fall ya davido.


Post a Comment

0 Comments