Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Watu 15 Wamefariki Kwenye Ajali ya Gari
Watu wapatao 15 wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Mombasa-Malindi nchini Kenya.

 

Watu wengine ishirini wamejeruiwa katika ajali hiyo iliyotokea mapema asubuhi ya leo katika ajali hiyo iliyohusisha mabasi mawili.

 Madereva wa magari yote mawili wamefariki dunia hapo hapo. Mashaidi wa ajali hiyo wamesema sehemu ambayo ajali hiyo imetokea katika eneo lililokuwa katika ujenzi.

 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments