Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Waziri Aweso amsimamisha kazi Mkurugenzi Morogoro

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimisha kazi kupisha uchunguzi, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Mhandisi Tamimu Katakwemba, Afisa Maji Bonde la Wami Ruvu Bw. Simon Ngonyani huku akiagiza watumishi wengine waliokuwa vinara wa kueneza chuki na kuleta taharuki badala ya kufanya kazi kuchukuliwa hatua za kinidhamu.Waziri Aweso ameeleza kuwa Mkurugenzi wa MORUWASA pamoja na tuhuma nyingine za kiutumishi lakini alisaini mkataba wa fedha nyingi na wakandarasi bila kushirikisha Wizara na hata bila uwepo wa Katibu Mkuu kinyume na taratibu, huku Afisa wa Bonde akisimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ya utumishi.

Post a Comment

0 Comments