Waziri Kabudi Apokelewa Wizara Ya Katiba Na Sheria

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Waziri Kabudi akiwa ofisini kwake pamoja na viongozi wengine wa Wizara hiyo. Kulia ni Naibu Waziri Geophrey Pinda, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ndg. Amon Mpanju na wa pili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome.
 

Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi apokelewa wizarani hapo  baada ya kuapishwa kuiongoza wizara hiyo baada ya mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri lililofanywa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan. 

Waziri Kabudi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria.
 

Waziri Kabudi akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwake Wizara ya Katiba na Sheria.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad