AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, amependekeza kuwepo kwa kodi ya Uzalendo itakayokatwa kupitia Mitandao ya Simu kwa kila Mtanzania ili kuwa chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Zungu amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania Milioni 30 kati ya wote waliopo Nchini huweza kufikisha Shilingi Bilioni 540 kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK