Alikiba "Ntaenda Kigoma kumpa support Nandy anajituma sana anahitaji kupewa nguvu"

advertise hereBaada ya msanii wa Bongo Fleva Nandy kuanzisha taamsha lake la NANDY FESTIVAL na katika tamasha hilo kuna baadhi ya wasanii ambao watakuwepo na miongoni mwao akiwa ni Alikiba, Kupitia ukurasa wake wa Twitter Alikiba ameandika kuwa :“Sanaa yetu ina upungufu wa wasanii wa kike, inabidi waliopo wapewe nguvu ili waweze kufanikiwa zaidi.

@officialnandy
ni msanii anayejituma na mwenye jitihada. Napenda anachofanya na ndio maana Jumamosi ijayo nitaenda nyumbani Kigoma kumpa support katika #NandyFestival #StrongGirl”

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE