Anthony Mtaka ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amemteua Anthony Mtaka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla 0ya uteuzi huo Mtaka alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE