BAKWATA: Sikukuu Ya Eid El-fitr Kusherehekewa Mei 13 Au Mei 14, 2021
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa sikukuu ya Eid- El Fitr itakuwa tarehe 13 au 14 mwezi huu kutegemeana na kuandama kwa mwezi.

Sherehe za Eid El-Fitr kitaifa kwa mwaka huu zitafanyika mkoani Dar es salaam, ambapo Swala itaswaliwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia saa 1:30 asubuhi. 

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE